Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Habari wana JF?
Kiuhalisia mi ni mzima wa afya kabisa lakini ningeomba tuzungumzie tatizo linalinikabili.
Kwa kawaida huwa siwezi kucheza games za computer zenye movements kama vile need for speed, midtown madness, IGI, Motor Combat na nyinginezo za namna hiyo!!!
Tatizo linalonikabili ni kwamba pindi ninapoanza tu kucheza kama baada ya dakika tatu hadi tano mwili hubadilikika na ninaanza kusikia joto saana na nikiendelea huanza kusikia kichefu chefu na kutaka kama kutapika ingawa nikiendelea zaidi sitapiki but tumbo litaanza kutibuka na hapo hapo nitakwenda kuharisha!!!
Nimejifanyia utafiti wa kina na ndiyo maana naandika hivi kuomba ushauri, computer naitumia sana kwenye matumizi mengine yoyote isipokuwa tu vitu vya namna hiyo niliyotaja hapo juu!!
Mfano mzuri ni leo hii, nimetumia computer kwa kazi za ofisi tangu saa moja na nusu asubuhi, baada ya kufanikiwa kumaliza kazi saa kumi na moja jioni tukiwa tunapiga story na staff wenzangu nikawagusia wenzangu kuhusu tatizo hili na walibisha sana hatimae tulikubaliana turudi kwenye computer yenye gemu na ikawashwa gemu ya IGI, kulikuwa kuna baridi na kiliwashwa kiyoyozi but jasho lililoanza kunitoka hapo hawakuamini na mwisho wa siku nilikimbilia toilet!!!
Nipo serious naomba msaada kwa anayefahamu tatizo hili kwa wana JF.
Nawasilisha!!!