Nina Tatizo na Magemu!

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Habari wana JF?

Kiuhalisia mi ni mzima wa afya kabisa lakini ningeomba tuzungumzie tatizo linalinikabili.

Kwa kawaida huwa siwezi kucheza games za computer zenye movements kama vile need for speed, midtown madness, IGI, Motor Combat na nyinginezo za namna hiyo!!!

Tatizo linalonikabili ni kwamba pindi ninapoanza tu kucheza kama baada ya dakika tatu hadi tano mwili hubadilikika na ninaanza kusikia joto saana na nikiendelea huanza kusikia kichefu chefu na kutaka kama kutapika ingawa nikiendelea zaidi sitapiki but tumbo litaanza kutibuka na hapo hapo nitakwenda kuharisha!!!

Nimejifanyia utafiti wa kina na ndiyo maana naandika hivi kuomba ushauri, computer naitumia sana kwenye matumizi mengine yoyote isipokuwa tu vitu vya namna hiyo niliyotaja hapo juu!!

Mfano mzuri ni leo hii, nimetumia computer kwa kazi za ofisi tangu saa moja na nusu asubuhi, baada ya kufanikiwa kumaliza kazi saa kumi na moja jioni tukiwa tunapiga story na staff wenzangu nikawagusia wenzangu kuhusu tatizo hili na walibisha sana hatimae tulikubaliana turudi kwenye computer yenye gemu na ikawashwa gemu ya IGI, kulikuwa kuna baridi na kiliwashwa kiyoyozi but jasho lililoanza kunitoka hapo hawakuamini na mwisho wa siku nilikimbilia toilet!!!

Nipo serious naomba msaada kwa anayefahamu tatizo hili kwa wana JF.

Nawasilisha!!!
 
Utakua na presha ya moyo au presha ya macho, pima presha halafu pia muone daktari wa macho. pole sana..!! Pia nakushauri ubadilishe hiyo avatar yako maana inatia presha pia.. teh teh...
 
Pole sana kaka, mimi ni mpenzi wa kucheza video gem na pia naweza kusema ndio kilevi changu, naweza kukushauri from my playng experience.

Kwa kawaida gemu zina husisha sehemu kubwa sana ya akili unapocheza hususan ni aina ya gemu ulizozitaja hapo juu, sijui Kwa hizo zingine lakini kwa gemu kama IGI na Need 4 Speed unapocheza haurelax ila unaenjoy ili uone kwamba unacheza gemu lazima kichwa kichemke kichizi, ndugu yangu mmoja alipata aleji ya kudumu wakati tunacheza gemu ya mission ya king kong, hadi leo akigusa gemu yoyote ya mission lazima anywe dicloper.

Hebu jaribu kucheza very simple mode za gemu mfano kwenye hiyo need for speed jaribu kucheza free run. au IGI cheza training pia unaweza kucheza gemu ambazo hazina compatition kabisa. inaweza kusov tatizo lako.

Msaada wa kitaalamu subiri great thinkers wanakuja
 
Mimi nikicheza Game za vita kama igi au call for duty..hua naogopa sana kupigwa risasi alaf hainifurahishi roho inaenda enda mbio, imebidi nibaki kwenye FIFA NA PES na NEED FOR SPEED..japo napenda ile milio ya bunduki
 

Nadhani unakuwa too excited unapata ADRENALIN RUSH unakuwa kwenye "FIGHT OR FLIGHT" mode/reaction.I think ur living in the game yaani upo too deep into character mpaka ubongo wako unapata ujumbe kwamba upo hatarini.Mtu anakuwa kwenye hio mode pale unapokuwa katika hali ya hatari/utatanishi inayoweza kudhuru uhai wako...
The changes with your body that occurs during fight or flight responses are activated in order to give body increased strength and speed in anticipation of fighting or running and these include
1.Increased blood flow to the muscles
2.Increased blood pressure,heart rate,blood sugars and fats in order to supply body with extra energy
3.The blood clotting function of the body speeds up in order to prevent excessive blood loss in the event of an injury sustained during the response.
4.Increased muscle tension in order to provide the body with extra speed and strength.
5.The pupils dilate to help see with increased clarity.
6.Increased perspirationto prevent over-heating due to the increased metabolic rate and that causes the sweating....
Nini chakufanya:
Epuka kucheza hizo games ambazo zinasababisha uwe katika hali hio....
 
anaharisha pia kumbuka.
kuharisha kunatokea wapi?

kweli tupo tofauti
 
Hivyo vitu vyote vipo connected ndugu yangu...Fight or flight response is controlled by the autonome nervous system(sympathetic nervous system) which regulates digestion,urination,heartrate,
sexual arousal,respiration,and pupillary response.And since he prolongs the stress response(by continuing Playing the games,he gets the negative psycologial and physiological effects which might include:

Physiological effects
Headaches
Muscle tension and pain
Chest pain
Fatigue
Changes in sex drive
Upset stomach(kichefchef,kutapika na kuharisha)
Problems with sleeping

Psychological effects
Anxiety
Restlessness
Lack of motivation or focus
Irritability or anger
Depression

Behavioral effects
Overeating or undereating
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…