Nina tatizo naomba msaada

Joined
Dec 2, 2012
Posts
67
Reaction score
21
Jaman mm nna tatizo,mm bado c jaoa lakini nataka tatizo hili ata nikataka kuoa niwe tayar nimelisha lipatia ufumbuz,,,,,
tatizo lenyewe ni samahanini lakini 'endapo nitafanya mapenz bac baada ya bao la mwanzo c pati jengine 'mshkaji huwa amelala baada ya kumaliza bao la kwanza ss hasimami palepale nikapiga bao la pili, kwa hiyo mm bao langu ni la mwanzo cku zote la pili c lipati na hua cna tena hamu ya kufanya liletendo,
naomba mnisaidie kwa moyo mkunjufu jaman,,,,,,,,,,,,,
 
Pole sana nduguyangu.vuta subra tuna wataalamu wengi humu JF wa mambo hayo watakupa ushauri mzuri tu.
 
Unaumri gan na umeanza mapenz ukiwa na umri gan? Je ulisha wah kusumbuliwa na ugonjwa wowote mkubwa? Je ni aina gan ya dawa ambazo unapenda kutumia ukiumwa na magonjwa madogomadogo kama kichwa,mwil kuchoka,mafua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…