Nina truck SCANIA 93,Box body ,kwa yeyote atakaye itaji kufanyia biashara

Hahahaha,udalali kazi kweli.
Hiyo Style inaitwautajaza mwenyewe buying System

Kwa kumsaidia ni kwamba weka maelezo ya Gari husika,angalia wenzio walivyo post kuhusu uuzaji wa magari .
Pia picha ni muhim sana
 
*KWA YEYOTE ATAKAYEITAJI KUFANYIA BIASHARA*heading inasema hivyo?|| means unalikodisha?kwa maelewano au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…