nimependa idea hii, ngoja niifanyie kazi pale bukoba mjini!!. mwenye ufahamu naomba anipe specifications za camera na printer nzuri za kazi hii. nikishafungua nitaleta mrejesho!!nunua camera digital laki ya laki 3 then nunua mashine ya ku'print passport size dakika 3 ya sh. laki 4 then tafuta place nzuri (junction) like karibu na maofisi ya serikali, mabenki, mahakama vyuo n.k fungua kibanda chako upige picha za passport za dakika 3, itakulipa fasta... ila kumbuka kurudi shule!
kanunulie card ya TCU ili uweze kujiunga na chuo kikuu. wewe ni mtoto, achana na mawazo ya biashara! nenda kasome usife mapema.mi npo mwanza nimemaliza f6 mwaka jana.
kanunulie card ya TCU ili uweze kujiunga na chuo kikuu. wewe ni mtoto, achana na mawazo ya biashara! nenda kasome usife mapema.
ndugu wana jf nina sh milioni moja ila sina business idea yoyote.......naombeni mnisaidie business ideas(wazo la biashara) kutokana na fedha niliyonayo...
mi npo mwanza nimemaliza f6 mwaka jana.
unamdanganya -- dagaa mwanza kilo ni sh 2500, sasa katika milion moja atakukwa na kilo 400 tu. ongeza nauli yake na mzigo atakuza bei gani? dar kwa sasa kilo ni Tsh. 3000.Peleka dagaa dsm