Nina Tshs Msaada: Nataka kufungua Duka la Vipodozi

Enenja

Senior Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
100
Reaction score
5
Ushaur wenu wapendwa nina mtaji wa milion mbili nahitaji kuanzisha biashara ya VIPODOZI nipo iringa town
 
Sasa unahitaji ushauri gani ilihali wewe teyari umeshachagua biashara ya vipodozi? Anyway labda nikupe ushauri wa vitu viwili.
Kwanza fanya biashara ambayo unaipenda kutokana na mtaji wako.
Pili usitumie pesa kushinda maingizo yako...I mean kama kwa siku unapata elfu moja haitakiwi wewe kwa siku utumie elfu mbili au elfu moja na Mia tano. Kwa siku ukiingiza elfu moja basi tumia Mia tatu au tumia isivuke Mia tano.

kwa hapo utaendelea...vinginevyo hesabu maumivu
 
Mkuu Iringa nasikia ni very potential kwa kilimo cha miti na mazao mengine, vipi ukiingia shambani na hiyo pesa?
 
Sasa unahitaji ushauri gani ilihali wewe teyari umeshachagua biashara ya vipodozi? Anyway labda nikupe ushauri wa vitu viwili.
Kwanza fanya biashara ambayo unaipenda kutokana na mtaji wako.
Pili usitumie pesa kushinda maingizo yako...I mean kama kwa siku unapata elfu moja haitakiwi wewe kwa siku utumie elfu mbili au elfu moja na Mia tano. Kwa siku ukiingiza elfu moja basi tumia Mia tatu au tumia isivuke Mia tano.

kwa hapo utaendelea...vinginevyo hesabu maumivu

Hajaweka vizuri tu swali lake la msingi ni je 2M inatosha kuanzia biashara ya vipodozi?
 
Back
Top Bottom