Sasa unahitaji ushauri gani ilihali wewe teyari umeshachagua biashara ya vipodozi? Anyway labda nikupe ushauri wa vitu viwili.
Kwanza fanya biashara ambayo unaipenda kutokana na mtaji wako.
Pili usitumie pesa kushinda maingizo yako...I mean kama kwa siku unapata elfu moja haitakiwi wewe kwa siku utumie elfu mbili au elfu moja na Mia tano. Kwa siku ukiingiza elfu moja basi tumia Mia tatu au tumia isivuke Mia tano.
kwa hapo utaendelea...vinginevyo hesabu maumivu