Changed ID
Member
- Aug 5, 2018
- 79
- 68
Habari ndugu zangu wanaJamiiforum......NIna TV ya Samsung inch 43 android,inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote.
TATIZO:
Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena baada ya zingine kumi inazima tena.Inakuwa inafanya mchezo wa aina hiyo muda wote ambao inakuwa imewashwa.
OMBI:
Mwenye kumfahamu fundi mzuri naomba anisaidie mawasiliano yake hapa hapa JF...Nitafurahi kama atakuwa anapatikana around Kimara to Kariakoo.
Ahsanteni
Yep hakuna Samsung TV ambayo ni Android wanatumia OS yao ya Tizen.Hakuna samsung tv org ambayo ni android kwa uelewa wangu wale wana Os yao so sema una copy tv
Yep hakuna Samsung TV ambayo ni Android wanatumia OS yao ya Tizen.
Inazima yaani inafuata process ya kushutdown au kama inakatika umeme ghafla? Anyway angalia kama tatizo bado lipo ukitumia hdmi na angalia kama inaover heat, weka feni moja kwa moja kwenye matundu ya hewa uone kama i
Sorry namaanisha smart 4K...Yep hakuna Samsung TV ambayo ni Android wanatumia OS yao ya Tizen.
Inazima yaani inafuata process ya kushutdown au kama inakatika umeme ghafla? Anyway angalia kama tatizo bado lipo ukitumia hdmi na angalia kama inaover heat, weka feni moja kwa moja kwenye matundu ya hewa uone kama ina angalau.
Uzi uishie hapa Hata mimi nilikua nashangaa Samsung wanatumia Smart Tizen OSHakuna samsung tv org ambayo ni android kwa uelewa wangu wale wana Os yao so sema una copy tv
Pole yake asee! Tunamuombea tv yake ikae sawa
Upo sahii kabsa kanstua kusema sumsung ya android TV nikawadha hiii model ya 2024 au kapgwaHakuna samsung tv org ambayo ni android kwa uelewa wangu wale wana Os yao so sema una copy tv
Pole sana nenda pale kibo msikitini mwone fundi anaitwa Baraka atakusaidia.Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote.
TATIZO:
Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena baada ya zingine kumi inazima tena. Inakuwa inafanya mchezo wa aina hiyo muda wote ambao inakuwa imewashwa.
OMBI:
Mwenye kumfahamu fundi mzuri naomba anisaidie mawasiliano yake hapa hapa JF...Nitafurahi kama atakuwa anapatikana around Kimara to Kariakoo.
Ahsanteni
Shukrani sana,weekend hii nitamuonaPole sana nenda pale kibo msikitini mwone fundi anaitwa Baraka atakusaidia.