balozi tz Member Joined Aug 5, 2015 Posts 57 Reaction score 8 Aug 19, 2015 #1 Habari ya muda wana JF Napenda kuomba ushauri wenu juu ya hili swala hapa Nataka kulima maeneo ya dar es salaam Na kiasi Hapo juuu msaada ndugu zangu Asanteni
Habari ya muda wana JF Napenda kuomba ushauri wenu juu ya hili swala hapa Nataka kulima maeneo ya dar es salaam Na kiasi Hapo juuu msaada ndugu zangu Asanteni
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Aug 19, 2015 #2 Lima mboga mboga zinazochukua mda mfupi kukomaaa! Ukilima mazao ya mda mrefu utakufa njaa!