Nina uhakika derby ya Simba na Yanga itapangiwa tarehe na kuchezeka, na hakuna hatua itakayo chukuliwa kuhusu hizo kanuni mnazo lialia hapa

Nina uhakika derby ya Simba na Yanga itapangiwa tarehe na kuchezeka, na hakuna hatua itakayo chukuliwa kuhusu hizo kanuni mnazo lialia hapa

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Hizo kanuni na Sheria mnazobishana zitaishia hapa hapa Jf na huko mtaani.

Ukijua mpira wa Simba na Yanga unaendeshwa na siasa, fitna na uchawi huwezi kupoteza mda wako kujadili undezi kama huu.

Nina uhakika hakuna kitakochofanyika dhidi ya pande hizi mbili ( Simba/Yanga )....na TFF/TPLB hamna Cha kuwafanya, maana ndio ishatokea

Mwisho wa hili, nimeandika hapo juu, tarehe itapangwa, MECHI itachezwa na nyie wazee wa kanuni MTAUJAZA uwanja wa mkapa.

Mwisho matokeo yatapatikana, tutarudi kule kule kwenye asili yetu;

1.Refa kawabeba
2..Uchawi/ulozi
3...Benchi la ufundi litimuliwe
4...Viongozi wajiuzulu nk nk

Hii ndio SIMBA na YANGA.
 
Ni uhakika kabisa, wabongo wanajua kuchonga kwenye keyboard tu baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa!

Hakika mkuu, mnabishana kuhusu kanuni while wanao simamia hizo kanuni wapo na Mambo Yao huko hawajali Wala nini
 
Sisi yanga hatuna shida kikubwa mtuletee my wetu!, msitucheleweshee sana tumemuhamu alikuwa anachonga sana akiona wengine tunawapiga tano, nne, sita! akifikiri ni ndogo siku yake ya miadi ilipowadia alipochungulia akaona namba 6, akawaza na hili joto itakuwaje!.. kaamua asubiri mvua iwe heri kwake...🤣
 
Nitatunza haya maneno Yako, nije nikukumbushe siku Moja......shauri Yako!
 
wakati unakumbusha hivyo utakuwa unabubujikwa na machozi ya huzuni...🤣
Sawa, acha muda uongee, Siku ikifika na dk90+ zikiisha usiingie mitini TU, maana nawajua tabia za mashabiki kama ww, sawa dogo?
 
Siku moja ambayo makolo mkichungulia kwenye tunguli mtaona zimepungua kutoka 6 mpaka 3
Mpira ungekuwa hivyo, sidhani km Kuna haja ya watu kufanya betting, moja kwa Moja wangekuja kwako uwape ubashiri wapige hela
 
Mh! mkuu futa neno dogo kabla sijakupiga ban
Mpira ungekuwa kama vile nyie mnataka kulikuwa na haja Gani ya watu kubet?, na pengine Simba na Yanga isingekuwepo, na pengine jamii sports isingekuwepo.....tujaribu kuupa HESHIMA mchezo huu!!
 
Mpira ungekuwa hivyo, sidhani km Kuna haja ya watu kufanya betting, moja kwa Moja wangekuja kwako uwape ubashiri wapige hela
Makolo jana mmeeka mpira kwapani.

Mngeleta timu leo pale msimbazi yangebaki majengo peke yake.

Bakora zingetembea sio poa.
 
Mpira ungekuwa kama vile nyie mnataka kulikuwa na haja Gani ya watu kubet?, na pengine Simba na Yanga isingekuwepo, na pengine jamii sports isingekuwepo.....tujaribu kuupa HESHIMA mchezo huu!!
umeandika kwa huzuni sana mkuu!, inaonekana sasahivi hamtaki hata kutuona..🤣
 
Huu Uzi uheshimiwe, nilitabiri kipindi ya kanuni kushamiri hapa jukwaani, za hizi tetesi (juu ya Simba/Yanga,kuhusumechi husika kuhairiashwa), naomba mods Active Cookie, mnipe HESHIMA yangu, kwa kuunganisha nyuzi zote chwara kuhusu nilichotabiri ili kunipa nguvu ya kuja na exclusive na utabiri zaidi ya Mambo mbalimbali ya mpira..asante
 
Back
Top Bottom