Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Ni uhakika kabisa, wabongo wanajua kuchonga kwenye keyboard tu baada ya hapo maisha yanaendelea kama kawa!
Sisi yanga hatuna shida kikubwa mtuletee my wetu!, msitucheleweshee sana tumemuhamu alikuwa anachonga sana akiona wengine tunawapiga tano, nne, sita! akifikiri ni ndogo siku yake ya miadi ilipowadia alipochungulia akaona namba 6, akawaza na hili joto itakuwaje!.. kaamua asubiri mvua iwe heri kwake...🤣
wakati unakumbusha hivyo utakuwa unabubujikwa na machozi ya huzuni...🤣Nitatunza haya maneno Yako, nije nikukumbushe siku Moja......shauri Yako!
Sawa, acha muda uongee, Siku ikifika na dk90+ zikiisha usiingie mitini TU, maana nawajua tabia za mashabiki kama ww, sawa dogo?wakati unakumbusha hivyo utakuwa unabubujikwa na machozi ya huzuni...🤣
Siku moja ambayo makolo mkichungulia kwenye tunguli mtaona zimepungua kutoka 6 mpaka 3Nitatunza haya maneno Yako, nije nikukumbushe siku Moja......shauri Yako!
Mh! mkuu futa neno dogo kabla sijakupiga banSawa, acha muda uongee, Siku ikifika na dk90+ zikiisha usiingie mitini TU, maana nawajua tabia za mashabiki kama ww, sawa dogo?
Mpira ungekuwa hivyo, sidhani km Kuna haja ya watu kufanya betting, moja kwa Moja wangekuja kwako uwape ubashiri wapige helaSiku moja ambayo makolo mkichungulia kwenye tunguli mtaona zimepungua kutoka 6 mpaka 3
Mpira ungekuwa kama vile nyie mnataka kulikuwa na haja Gani ya watu kubet?, na pengine Simba na Yanga isingekuwepo, na pengine jamii sports isingekuwepo.....tujaribu kuupa HESHIMA mchezo huu!!Mh! mkuu futa neno dogo kabla sijakupiga ban
Makolo jana mmeeka mpira kwapani.Mpira ungekuwa hivyo, sidhani km Kuna haja ya watu kufanya betting, moja kwa Moja wangekuja kwako uwape ubashiri wapige hela
umeandika kwa huzuni sana mkuu!, inaonekana sasahivi hamtaki hata kutuona..🤣Mpira ungekuwa kama vile nyie mnataka kulikuwa na haja Gani ya watu kubet?, na pengine Simba na Yanga isingekuwepo, na pengine jamii sports isingekuwepo.....tujaribu kuupa HESHIMA mchezo huu!!
Sawa mzee wa muongozo