Nina uhakika kocha wa tanzania hapangiwi kikosi safi sana

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za Mda huu watanzania wenzangu

Kwa nilivyokiona kikosi Cha tiafa stars Jana ni uhakika kuwa kocha HAPANGIWI KIKOSI na mtu kama angekuwa anangiwa kikosi Nina uhakika asilimia 100% kiungo asiyeogopa FUNDI. Na mkata umeme SOSPTER BAJANA a.k.a STRONG man asingeanza

Tungeona ujinga wa Mzee babu Himid ambae uwezo wake ni mdogo Sana au mdathiri ambae hawezi kupambana Sana

Bajana ni fighter haogopi Mtu DOUBLE PIVOT yake na MZAMIRU itatuvusha makundi AFCON

Sasa kocha umebakiza kitu kimoja Mfuatilie LUSAJO MWAIKENDA NI BEKI MZURI MNO WA KULIA

Kwanini nasema ivyo kuna Mda team haotoitaji mkabaji kama DICKSON JOB.


Naomba hili ukalitazame
 
Sawa mpangie timu kocha ikiwezekana mwambie na wale waliochwa warudishwe
 
Nyie si ndio mlikuwa mnamlalamikia kuwa hajamuita Zimbwe na Kapombe
 
Sawa mpangie timu kocha ikiwezekana mwambie na wale waliochwa warudishwe
Hakuna anaefaa kuitwa kati ya kapombe na zimbwe
 
Unasema hapangiwi halafu wewe unataka kumpangia [emoji28]
 
Bajana ni bora kwenye mfumo wa kupaki basi ambao ushapitwa na wakati, ila kwa mpira wa kisasa Mdadhiri is the best!
 
Vipi mjadala wa mabeki wafupi uendelee au ndio umeisha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…