Nina uhakika mwakani ni muda wa malalamiko mengi kwa waamuzi, Karia na TFF

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimewaatonya mapema msije kusema sijawaambia, tunajua haya hutokea sana kwa hawa viumbe.

Mwaka huu umepita sio mwandishi wa habari wala chawa waliotoa malalamiko. Unaweza kudhani waamuzi walikuwa malaika msimu huu. Unaweza kusema TFF walikuwa smart kuliko chama chochote cha soka duniani.

Mtakumbuka maneno yangu.
 
Nimewaatonya mapema msije kusema sijawaambia.

Tunajua haya hutokea sana kwa hawa viumbe.
Mwaka huu umepita sio mwandishi wa habari wala chawa waliotoa malalamiko.Unaweza kudhani waamuzi walikuwa malaika msimu huu.Unaweza kusema TFF walikuwa smart kuliko chama chochote cha soka duniani.

Mtakumbuka maneno yangu.
Utopolo hawajielewi.Huwezi kukuta Simba analalamika lalamika.Ila hawa wakiwa vibaya tu basi lawama kwa TFF
 
Malalamiko yanaweza kuwepo kama Yanga wataonewa kweli na Simba wawe vizuri kitu ambacho sikioni kwa Makolo kutokana na kutokuwa vzr kwenye usajili
Kawaida yao kulalamika kutafuta uoendeleo na sio kweli kuwa wanaonewa
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Utofauti hapa niliouona kati ya Simba na Yanga ni kwamba mashabiki wa Simba ni watu wanaokubari kushindwa ,pia wanakubali mapunguf yao.
Huwez kukuta Uzi humu wa wanasimba wakiwalalamikia marefa au Karia Zaid wanawalalamikia viongoz wao Kwa kusajili wachezaj wa kawaida sana ambao hawaendani na Jina la Simba.
Kelele za Wana Simba ni wao na viongoz wao kwenye usajil.

Subir siku Yanga wakose ubingwa ,karia na marefa wanageuka punching bag ya Wana yanga.
Mwaka Jana kimya ,mwaka huu kimya sabab tu Kila kitu kipo upande wao .
Hili nalisubir sana kuliona endapo Simba au Azam wakitwaa ubingwa.
 
Kwa hiyo Tanzania ina marefa perfect? Tukubaliane kuanzia hapo ili tusisikie kelele za kubebwa na mbeleko.
Mashabiki wa hizi timu 2 hamjitambui wala msitupigie kelele. Mashabiki wa Yanga ni maarufu Kwa kulalamikia marefa, mashabiki wa Simba ni maarufu Kwa kuhamisha magoli ya udhaifu wa timu yao na kuita Kila ushindi wa Yanga ni wa kubebwa na marefa.
 
..
FB_IMG_1686291609474.jpg
JamiiForums-1290500738.jpg
FB_IMG_1682646137959.jpg
FB_IMG_1682646171032.jpg
 
Utofauti hapa niliouona kati ya Simba na Yanga ni kwamba mashabiki wa Simba ni watu wanaokubari kushindwa ,pia wanakubali mapunguf yao.
Huwez kukuta Uzi humu wa wanasimba wakiwalalamikia marefa au Karia Zaid wanawalalamikia viongoz wao Kwa kusajili wachezaj wa kawaida sana ambao hawaendani na Jina la Simba.
Kelele za Wana Simba ni wao na viongoz wao kwenye usajil.

Subir siku Yanga wakose ubingwa ,karia na marefa wanageuka punching bag ya Wana yanga.
Mwaka Jana kimya ,mwaka huu kimya sabab tu Kila kitu kipo upande wao .
Hili nalisubir sana kuliona endapo Simba au Azam wakitwaa ubingwa.

Umemaliza kila kitu hao UTO wakikosa ubingwa tu Mara wanataka kujitoa kwenye ligi tunaenda ikulu tunaonewa karia ni simba ila kwa simba hakika tumekua hatuna malalamiko kama wajawazito wa upande wa pili
Nb mwakalebela
 
Unakumbuka juzi walipokalishwa na mwarabu wakatukabidhi mvua wana msimbazi.Na walipotolewa wakaanza mara goli la ugenini mara fainali iwe moja.Wakati ingekuwa moja mechi ingeishia Bongo.Waliniudhi zaidi walipomuomba yaya toure awasaidie.
Utofauti hapa niliouona kati ya Simba na Yanga ni kwamba mashabiki wa Simba ni watu wanaokubari kushindwa ,pia wanakubali mapunguf yao.
Huwez kukuta Uzi humu wa wanasimba wakiwalalamikia marefa au Karia Zaid wanawalalamikia viongoz wao Kwa kusajili wachezaj wa kawaida sana ambao hawaendani na Jina la Simba.
Kelele za Wana Simba ni wao na viongoz wao kwenye usajil.

Subir siku Yanga wakose ubingwa ,karia na marefa wanageuka punching bag ya Wana yanga.
Mwaka Jana kimya ,mwaka huu kimya sabab tu Kila kitu kipo upande wao .
Hili nalisubir sana kuliona endapo Simba au Azam wakitwaa ubingwa.
 
Utofauti hapa niliouona kati ya Simba na Yanga ni kwamba mashabiki wa Simba ni watu wanaokubari kushindwa ,pia wanakubali mapunguf yao.
Huwez kukuta Uzi humu wa wanasimba wakiwalalamikia marefa au Karia Zaid wanawalalamikia viongoz wao Kwa kusajili wachezaj wa kawaida sana ambao hawaendani na Jina la Simba.
Kelele za Wana Simba ni wao na viongoz wao kwenye usajil.

Subir siku Yanga wakose ubingwa ,karia na marefa wanageuka punching bag ya Wana yanga.
Mwaka Jana kimya ,mwaka huu kimya sabab tu Kila kitu kipo upande wao .
Hili nalisubir sana kuliona endapo Simba au Azam wakitwaa ubingwa.
Huoni nyuzi za kejeli zilizo jaa humu kuisimanga Yanga?
 
Umemaliza kila kitu hao UTO wakikosa ubingwa tu Mara wanataka kujitoa kwenye ligi tunaenda ikulu tunaonewa karia ni simba ila kwa simba hakika tumekua hatuna malalamiko kama wajawazito wa upande wa pili
Nb mwakalebela
Mangungu alisema mhamie Zambia au Burundi
 
Kwa hiyo Tanzania ina marefa perfect? Tukubaliane kuanzia hapo ili tusisikie kelele za kubebwa na mbeleko.
Mashabiki wa hizi timu 2 hamjitambui wala msitupigie kelele. Mashabiki wa Yanga ni maarufu Kwa kulalamikia marefa, mashabiki wa Simba ni maarufu Kwa kuhamisha magoli ya udhaifu wa timu yao na kuita Kila ushindi wa Yanga ni wa kubebwa na marefa.
Umeongea point
 
Nimewaatonya mapema msije kusema sijawaambia, tunajua haya hutokea sana kwa hawa viumbe.

Mwaka huu umepita sio mwandishi wa habari wala chawa waliotoa malalamiko. Unaweza kudhani waamuzi walikuwa malaika msimu huu. Unaweza kusema TFF walikuwa smart kuliko chama chochote cha soka duniani.

Mtakumbuka maneno yangu.
Kwani yale maneno ya Eng. Kutumia bahasha ilikuwa ni malalamiko ya akina nani? Mnajifanya wepesi wa kusahau mapema hivi? Kila ushindi wa Yanga ni wa kununua. Mkasema kombe la shirikisho hatoboi kwanzia walipopangiwa na Club Africain. Mlivyoona timu inachanja mbuga mkahamisha magoli kuwa Yanga imekutana na timu dhaifu
 
Utofauti hapa niliouona kati ya Simba na Yanga ni kwamba mashabiki wa Simba ni watu wanaokubari kushindwa ,pia wanakubali mapunguf yao.
Huwez kukuta Uzi humu wa wanasimba wakiwalalamikia marefa au Karia Zaid wanawalalamikia viongoz wao Kwa kusajili wachezaj wa kawaida sana ambao hawaendani na Jina la Simba.
Kelele za Wana Simba ni wao na viongoz wao kwenye usajil.

Subir siku Yanga wakose ubingwa ,karia na marefa wanageuka punching bag ya Wana yanga.
Mwaka Jana kimya ,mwaka huu kimya sabab tu Kila kitu kipo upande wao .
Hili nalisubir sana kuliona endapo Simba au Azam wakitwaa ubingwa.
Saa hizi mnajifanya wana michezo baada ya msimu kutamatika, ila wakati Yanga anacheza michezo yake na kushinda, mkatoa malalamiko ya Yanga wanashinda kwa bahasha, wanawaonga wachezaji wa timu pinzani na marefa
 
Malalamiko yanaweza kuwepo kama Yanga wataonewa kweli na Simba wawe vizuri kitu ambacho sikioni kwa Makolo kutokana na kutokuwa vzr kwenye usajili
Kwani usajir ushafanyikaaa?? Wee umevurugwaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom