Nina uhitaji wa kozi ya lugha ya kingereza

Nina uhitaji wa kozi ya lugha ya kingereza

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma!

Kama ni online naomba jina la website

Asanteni
 
Back
Top Bottom