Nina uhitaji wa kujifunza lugha ya kingereza

Nina uhitaji wa kujifunza lugha ya kingereza

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
748
Reaction score
1,340
Habarini za usiku wanajamvi?

Ni taasisi au chuo gani kwa hapa Arusha kinatoa mafunzo ya lugha ya kiingereza kuanzia cha kuongea na kuandika kwa vitendo zaidi, Na iwe inatoa mafunzo hayo kwa muda mfupi kama miezi mitatu. nimgependa kujua na bei wanazotoza pia.

Nataka kukinoa zaidi hichi kidogo nlicho nacho, ili niwe bora zaidi kuanzia kuongea na kuandika.

Nawasilisha kwa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom