utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
Wanajamvi,
Toka jana nahangaika humu kutafuta thread fulan ilikuwa kuna mtu ameleta anauza simu za mezani unazoweka Laini na alikuwa anauza kwa bei nzuri sana. kwa ambae anaukumbuka naomba nipandishieni hapa au anaeuza hizo simu ninahitaji

Nashukuru WakiliSimu za mezani zinauzwa
SIMU ZA MEZANI (New models) Bei ni sh 125,000/= tu, zinaingia laini yeyote (single & double), betri ya kuchaji, fm-radio, inatuma sms, loudspeaker nk. Tupo Dar es salaam @ Temeke, deliveryipo kwa wakazi wa Dar es salaam ila wamikoani wanatumiwa kwa mabasi. Kama unamteja au unahitaji kwa bei ya...www.jamiiforums.com
Nashukuru mwalimuView attachment 1234702
View attachment 1234704
View attachment 1234706
View attachment 1234708
Wapigie simu hao, wanafanya free delivery