Jamaa anahitaji ushauri. Msimkatishe tamaa jamanHuu mwaka haushi ukiwa hujaliwa wew
Kama umeelekea hiviWanakulaumu tu ila nakuelewa sana nafasi uliopo.
Sasa sikia mi mdogo ako ila acha ufala.
Mfosi kufuta sms.
Mfosi kupokea simu.
Mfosi alale.
Mfosi ampikie mumewe.
Mfosi kukutana kuwe kwa mipango.
Mfosi vitu vingi ambavyo vitamfanya atimize majukumu kama mke wa mshkaji.
Ni namna pekee utamsaidia jamaa kama kweli unamuonea huruma.
Toa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.Hii kama imeandikwa na mwanaume mwenye utimamu wa akili basi ana chembechembe za uvulana
Nakuelewa sana unachokieleza ndugu, nilikumbana na hilo, nililazimika kuhama eneo lile ikabaki mawasiliano tu, cha ajabu mama wa binti alikuwa yupo radhi ampe bintiye nauli anifuate niliko lakini nilikaza hasa( yataka ujasiri sana hasa HURUMA) yule mama alikuwa ananitumia picha za bintiye kakonda kwa mawazo na stress kwa madai ya kwamba mimi ndiye sababu ya yy kuikosa furaha ktk maisha yake. Ni story ndefu sanaMkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
Huelewi mkuu unachosema,km ningekuwa na furaha kuna haja gani kuja kupost hapa!?? Toa tu ushauri....Daah hadi nimemuonea huruma huyo mwenye mke
Ila furahia tu kwa sasa lakini 40 yako itafika na utajuta
Mbona hujauliza kwani huyu bazazi alioa?Kiongozi hakuna cha kuona huruma hebu mwache huyo binti ....uzinzi dhambi.....halafu hawa wanawake wanaokubali kuolewa halafu wanacheat huwa wanamaanisha nini labda??? Kwa nini kaolewa???
Sijakudharau ila nimedharau mfumo wako wa akiliToa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.
Hahahaha haha [emoji23] nimecheka kinooomaa Daaah yule jamaa mtabe SanaHuyo mumewe asiwe tu Samuel Mdodo, yeye alisema anamaliza mwenyewe kesi zake. Hahitaji hakimu wala shahidi.
Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!Wanakulaumu tu ila nakuelewa sana nafasi uliopo.
Sasa sikia mi mdogo ako ila acha ufala.
Mfosi kufuta sms.
Mfosi kupokea simu.
Mfosi alale.
Mfosi ampikie mumewe.
Mfosi kukutana kuwe kwa mipango.
Mfosi vitu vingi ambavyo vitamfanya atimize majukumu kama mke wa mshkaji.
Ni namna pekee utamsaidia jamaa kama kweli unamuonea huruma.
Tatizo letu tukielezwa ukweli tunajifanya kukandia ila uongo ndio tunaupigia makofi, nilishajifunza sana hapa jf ukitaka wakupigie makofi sema uongo hapo sawa ila ukieleza ukweli utaambiwa kila aina ya maneno mabaya. Ndio watu tulivyo anywayToa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.
Mama pia kivurugeNashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
Hao wanajikutaga wana hati miliki ya kuchepuka ngoja nianze na jinsia yetuMbona hujauliza kwani huyu bazazi alioa?