Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Hivi ndivyo ilivyokuwa: Nilikutana na huyu dada na nikamtongoza kwa sababu niliona anafanya kazi katika duka la mzee fulani. Hapo awali, sikujua kama mzee huyo alikuwa mume wake, nilidhani labda alikuwa baba yake. Baada ya kumtongoza, alinieleza kuwa ana mume ambaye ni huyo mzee na wana mtoto mmoja.
Nikasema sawa, hilo si tatizo. Sasa, ninachotaka ni ushauri kwa sababu huyu binti anapata muda mwingi wa kuja magetoni na tunafanya mambo yetu. Sasa ananiambia kuwa mwezi unaokwenda mzee hampi chochote, na mimi sijui nifanyeje. Inaniumiza sana kwani anasema hana hisia naye tena.