Nina uhusiano na mwanamke wa 28 miaka 28 lakini kaolewa na mzee

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Hivi ndivyo ilivyokuwa: Nilikutana na huyu dada na nikamtongoza kwa sababu niliona anafanya kazi katika duka la mzee fulani. Hapo awali, sikujua kama mzee huyo alikuwa mume wake, nilidhani labda alikuwa baba yake. Baada ya kumtongoza, alinieleza kuwa ana mume ambaye ni huyo mzee na wana mtoto mmoja.

Nikasema sawa, hilo si tatizo. Sasa, ninachotaka ni ushauri kwa sababu huyu binti anapata muda mwingi wa kuja magetoni na tunafanya mambo yetu. Sasa ananiambia kuwa mwezi unaokwenda mzee hampi chochote, na mimi sijui nifanyeje. Inaniumiza sana kwani anasema hana hisia naye tena.
 
Unachokitafuta utakipata Dogo.

Dogo Dogo Dogo asee unakuja kuharibiwa Maisha yako muda sio mrefu.

Kimbia Mbali Kwa huyo mke WA huyo Mzee.
 
Kampe wewe kijana🤣..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…