Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangu mwezi wa pili mpaka leo nina ujauzito wa miezi8. Mguu wangu wa kulia unaniuma sana. Je? Nitumie gani au dalili gani hizi? Msaada jaman napata tabu.
Badala ya wewe kwenda kwanza Hospitali unataka ushauri wa watu humu ndani? pole sana bibie tafuta Mafuta ya karafuu uchanganye na mafuta ya Zaituni uwe unajipiga masaji kila siku asubuhi na usiku utapona inshallah. Uguwa pole bibie utajifunguwa mtoto kiume inshallah EvzTangu mwezi wa pili mpaka leo nina ujauzito wa miezi8. Mguu wangu wa kulia unaniuma sana. Je? Nitumie gani au dalili gani hizi? Msaada jaman napata tabu.
Ndugu a.rahabu hujambo wewe lakini? ukiwasaidia hawa ndugu zetu wakipona hawaji kusema kuwa wamepona au bado watakuja kulalamika dawa unayowapa imewaletea madhara ndio binadamu jinsi alivyo tunapenda kukosoana kuliko kutoa shukrani. MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO.mmm mwite MziziMkavu. atakusaidia tatizo lako
Tangu mwezi wa pili mpaka leo nina ujauzito wa miezi8. Mguu wangu wa kulia unaniuma sana. Je? Nitumie gani au dalili gani hizi? Msaada jaman napata tabu.