Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
nina umbea wa hatare unawahusu members wawili wa humu .nifanyeje jamani? yaani ni umbea ambao utatikisa humu ,server inaweza kuzima yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka kwa kutumia majina bandia kama unaogopa kutaja ID zaonina umbea wa hatare unawahusu members wawili wa humu .nifanyeje jamani? yaani ni umbea ambao utatikisa humu ,server inaweza kuzima yaani
mmmhMtafute DJ Sepetu akusaidie kuutema.
ahhh usimuamini mtu kabisa hapa duniani jamaniMtafute DJ Sepetu akusaidie kuutema.
utatikisa nchiFunguka kwa kutumia majina bandia kama unaogopa kutaja ID zao
Usishangaemmmh
Wazazi tu. ..kama bado wapo.ahhh usimuamini mtu kabisa hapa duniani jamani
tema maji hayo mkuuutatikisa nchi
sio maji ya mchezo yaani . wenyewe watanimind wapo humu ila aisee watu wamuogope Mungutema maji hayo mkuu
sio maji ya mchezo yaani . wenyewe watanimind wapo humu ila aisee watu wamuogope Mungu
sureUsishangae
funguka fungukautatikisa nchi
Ninong'oneze hebu jamanisio maji ya mchezo yaani . wenyewe watanimind wapo humu ila aisee watu wamuogope Mungu
ngoja kwanza .tatizo sitaki kumuumiza mtuwe tupa tuu hilo jiwe gizani
ahaaaaa yani acha tu usione watu wanapita barabaraniNinong'oneze hebu jamani