Anakuja Yesu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 564
- 485
sawa njoooooshoga yangu ngoja nije pm nikuambie ila tukishikwa tunalambwa ban ya maisha ujue
nitakutumia whatsupsawa njooooo
Shogaangu unapenda ubuyu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],Hivi hujui pm kwangu au ni kiburi???!!!
HahahahaShogaangu unapenda ubuyu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Pambana ukipewa nigawie na mie nimumunye
ngoja nivae mask ahaaa😀😀😀Badamu batamwagika ohoooo😱
ahahaaaaShogaangu unapenda ubuyu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Pambana ukipewa nigawie na mie nimumunye
Jamaaniweeee hapana kwa kweli mara paaap ni wewe muhusika .huku watu wana id mia kidogo
yaani ungejua hata wewe mwenyewe ungejuta kuujuaTukijua watajirekebishaa
Fanya hima uende pm kwa sakayo anakusubiria kwa hamu sana [emoji6]ahahaaaa
mara paaap sakayo ndo muhusika ,watu wana id kibao humuFanya hima uende pm kwa sakayo anakusubiria kwa hamu sana [emoji6]
chimba shimo sema then fukia utaota mti .....nina umbea wa hatare unawahusu members wawili wa humu .nifanyeje jamani? yaani ni umbea ambao utatikisa humu ,server inaweza kuzima yaani
Ahahahaaaaaa uwiii sijui itakuwajemara paaap sakayo ndo muhusika ,watu wana id kibao humu
Sawa Mkuu twende taratibu tusiwavunjie watu heshima. Nimekuelewa kwa nini unasita!yaani ungejua hata wewe mwenyewe ungejuta kuujua
Pambana hebu akujeeFanya hima uende pm kwa sakayo anakusubiria kwa hamu sana [emoji6]
UMEONA EEH ?mimi nina akili wewe ohoooAhahahaaaaaa uwiii sijui itakuwaje
Ndio nijitahidi hapa japo Miss Natafuta naona kama hataki kutoa ushirikiano wa dhati sijui tatizo ni nini hasaPambana hebu akujee