Nina uoga wa radi (lighting) uliopitiliza. Kuna sababu ya kuwa na hali hii?

Nina uoga wa radi (lighting) uliopitiliza. Kuna sababu ya kuwa na hali hii?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
radi.jpg

Mimi ni mtu mzima na familia lakini naogopa sana radi, ikiwaka moja tu, basi natafuta pa kujificha.

Ni aibu ni wapo na watoto ila ndio hivyo, je kuna sababu ya kuogopa radi nikiwa ndani?
 
Jitahidi usionyeshe huo woga mbele ya watoto wako na mkeo au ukiwa na kundi la wanaume wenzako. Si sahihi sana kwa mwanaume kuonyesha woga wa radi wazi wazi.
 
Dec radi ilipiga anten ikaingia hadi ndani (ule moto) mixer kuunguza king'amuzi na TV unayo haki kuogopa Ile kitu sio poa mzee Haina kujiandaa Wala kukwepa sitaki kumbuka
 
Kwa hiyo Radi ikipiga unapiga nduru?
Uuuuwi au mamaaa?!!

Utakua last born
 
Back
Top Bottom