Nina uoga wa radi (lighting) uliopitiliza. Kuna sababu ya kuwa na hali hii?

Jitahidi usionyeshe huo woga mbele ya watoto wako na mkeo au ukiwa na kundi la wanaume wenzako. Si sahihi sana kwa mwanaume kuonyesha woga wa radi wazi wazi.
 
Dec radi ilipiga anten ikaingia hadi ndani (ule moto) mixer kuunguza king'amuzi na TV unayo haki kuogopa Ile kitu sio poa mzee Haina kujiandaa Wala kukwepa sitaki kumbuka
 
Kwa hiyo Radi ikipiga unapiga nduru?
Uuuuwi au mamaaa?!!

Utakua last born
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…