Nina uraibu wa wanawake age go

Mitandao ya kijamii ina tabia ya kukupa kwa wingi kile unachopenda kukiangalia. Ukianza kula watu wazima basi utakuwa unapenda kuwala wao tu mabinti utakuwa unawaona fakeni. Na ukiwa unakula watu wanene utawapenda kuliko wembamba
 
Daaah, kweli “there is someone for everyone” 🤣🤣 wamama wanajikatiaga tamaa kumbe kuna kama hawa wanawaelewa.

Lamomy endelea kula maisha mahi, wa kufanana naye anasubiri uzeeke zeeke kidogo 🤣🤣
 
aiii tunafanana tatizo jinsia uwih🤸‍♀️,, wababa kuanzia 40 alf smart ananukia huwa,naishiwa pawa upendo wao huwa sio wa kubahatisha😝 unatritiwa kama ka princess vile🤗,, nilijaribu maramoja nikapagawa mazima
Mnaowataka ni hao ila tupo sisi tunaovaa jinsi na jezi tunanukia fukuto la joto la mahangaiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…