Christian Kuboja
Member
- Oct 1, 2024
- 5
- 3
Mimi ni kijana wa kiume nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu tangu lianze kuvimba naombeni ushauri nifanyeje na matibabu nayapataje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case closed📌🔨Kama uko Dar, nenda Ocean Road Hospital, ukafanyiwe uchunguzi.
ausiyo.... omunibus closeCase closed📌🔨
Wanaume pia wana uwezo wa kupata breast cancer though kwa kiwango kidogo.. So nduugu ni vyema ukaenda kuchek hali yako hospitali na kujua suluhisho lake..Mimi ni kijana wa kiume nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu tangu lianze kuvimba naombeni ushauri nifanyeje na matibabu nayapataje
Mimi ni kijana wa kiume nina uvimbe kwenye chuchu moja la upande wa kulia na lnazidi kuvimba tu sasa miaka mitatu tangu lianze kuvimba naombeni ushauri nifanyeje na matibabu nayapataje
sawa asanteWanaume pia wana uwezo wa kupata breast cancer though kwa kiwango kidogo.. So nduugu ni vyema ukaenda kuchek hali yako hospitali na kujua suluhisho lake..
"Nje Ya Mada"Figa Hiyo Na Huo Upaja Kwenye Dp,Wacha Nijichukulie Sheria Mkononi,,,Kwani Sh Ngapi??Wanaume pia wana uwezo wa kupata breast cancer though kwa kiwango kidogo.. So nduugu ni vyema ukaenda kuchek hali yako hospitali na kujua suluhisho lake..
Nenda Bugandome nipo MWANZA
Sahihi kabisa Tena wahi mapema mambo yakiwa bado hayajafika mbali, ocean road wanashughulika na maradhi ya Kansa na uvimbe huo huenda ni hiyo, ila usiogope watu wanatibiwa na wanapona, kumbuka nenda haraka kabla hujaanza kuumwa utakuwa sawa. Asante.Kama uko Dar, nenda Ocean Road Hospital, ukafanyiwe uchunguzi.