Nina uvimbe sehemu ya haja kubwa

Nina uvimbe sehemu ya haja kubwa

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Nimepatwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa ,mara ya kwanza juzi nilijua tu ni kichunusi ,kila nikiviangalia kwenye kioo (viupele viwili) naona vimetuna lakini sioni kama vimeiva .Sasa kama kuna mtu alishawahi patwa na tatizo hili, naomba anisaidie, je niende hospitali au mitishamba?
Ila siumwi chochote labda nikikohoa au nikikaa kinauma na maumivu kwa mbali ,hapa nilipo sijielewi
Nipeni mwanga kama kuna madaktari humu.
Ntashukuru sana wakuu
 
Lipeleke JF Doctor upate ushauri, MMU utapata porojo tu..
Pole sana..
 
mi sio daktari lakini inaweza kuwa tatizo dogo tu la piles au hemomorroid. ni ugonjwa unaosababishwa na constipation.
Jaribu kunywa maji mengi sana kila wakati, matunda na mboga za majani. tatizo likiendelea baada ya wiki muone daktari.
source: wikipedia
 
Nimepatwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa ,mara ya kwanza juzi nilijua tu ni kichunusi ,kila nikiviangalia kwenye kioo (viupele viwili) naona vimetuna lakini sioni kama vimeiva .Sasa kama kuna mtu alishawahi patwa na tatizo hili, naomba anisaidie, je niende hospitali au mitishamba?
Ila siumwi chochote labda nikikohoa au nikikaa kinauma na maumivu kwa mbali ,hapa nilipo sijielewi
Nipeni mwanga kama kuna madaktari humu.
Ntashukuru sana wakuu
 
Pole nakushauri uende hospital kupata ushauri na uangalizi wa karibu......niliwahi kumwona mtu ilifanyiwa operation ni baada ya kupata tiba ikarudia amepona kabisa
 
Nimepatwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa ,mara ya kwanza juzi nilijua tu ni kichunusi ,kila nikiviangalia kwenye kioo (viupele viwili) naona vimetuna lakini sioni kama vimeiva .Sasa kama kuna mtu alishawahi patwa na tatizo hili, naomba anisaidie, je niende hospitali au mitishamba?
Ila siumwi chochote labda nikikohoa au nikikaa kinauma na maumivu kwa mbali ,hapa nilipo sijielewi
Nipeni mwanga kama kuna madaktari humu.
Ntashukuru sana wakuu

Pole mkuu, nenda hospitali jieleze kwa daktari na muonyeshe hivyo vipele utapata tiba yake hospitali.
 
mkuu,,digestion haifanyiki vizuri mwilini...kula sana matunda yanasaidia mchakato..ull be ok
 
Inakuaje haya nayo ni maswala ya mapenzi? Umepotea njia ndugu yangu
 
digestion haifanyiki poa mwilini mwako,kula matunda sana hope ndani ya siku mbili tano utakuwa poa tayari,sikupatii picha ukitoka haja kubwa maumivu unayo yapata,Pole saana
 
huko uliko hakuna MADOKTA..??? KWANINI WAJIENDEKEZA NA MAJIBU MEPESI..???
 
kula matunda na maji mengi sana inaonekana hunywi maji mengi ndio maana unashusha kimba gumu ambalo linakuumiza..
 
kula matunda na maji mengi sana inaonekana hunywi maji mengi ndio maana unashusha kimba gumu ambalo linakuumiza..

Hahahah ashakum si matusi mkuu, samahani lakini mstari wako wa mwisho kwa kweli umenivunja mbavu.
 
pole ndugu, vipo kwa ndan au nje ikweta? mie niliwah kupata nikapaka dawa inaitwa gentrisone (dawa ya fangasi) kikakauka nikaendelea na maisha.m
 
Thanks wakuu kwa ushauri wenu,nimemuona dokta kanicheki ni hizo piles au hermap....
nimepewa dawa siku ya nne naona vinapungua ila dokta kaniambia naweza kufanyiwa opertion ,sasa naona vinapotea na kasema niende baada ya week.Operation naiogopa sana kutokana na nature ya kazi yangu
 
Back
Top Bottom