Nimepatwa na uvimbe sehemu ya haja kubwa ,mara ya kwanza juzi nilijua tu ni kichunusi ,kila nikiviangalia kwenye kioo (viupele viwili) naona vimetuna lakini sioni kama vimeiva .Sasa kama kuna mtu alishawahi patwa na tatizo hili, naomba anisaidie, je niende hospitali au mitishamba?
Ila siumwi chochote labda nikikohoa au nikikaa kinauma na maumivu kwa mbali ,hapa nilipo sijielewi
Nipeni mwanga kama kuna madaktari humu.
Ntashukuru sana wakuu
Inakuaje haya nayo ni maswala ya mapenzi? Umepotea njia ndugu yangu
kula matunda na maji mengi sana inaonekana hunywi maji mengi ndio maana unashusha kimba gumu ambalo linakuumiza..