Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Habari za Jioni wana Jamio Forums.

Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k.

Pia kwa kufanya hivyo natangaza na nafasi ya Kazi Kijana atakaye ifanya atoke humu humu.

Kwa hiyo kama una kijana hana kazi, ni mchapa kazi basi tuweke nguvu pamoja.

Mazingation
1. Sehemu iwe Dar
2. Isiwe gharama Kubwa maana mtaji sio mkubwa
3. Vifaa vyote muhimu vipo. Jiko la mkaa, mtungi wa gesi, Meza ya chips na Kabati lake. Friji Kubwa pia lipo.

4. Biashara iandaliwe ndani ya mwezi huu wa Mapumziko iwe rasmi kuanza mara baada ya mfungo.
 
Ndugu zangu hili msiliache lipite
 
Back
Top Bottom