Giannis Antetokounmpo
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 134
- 65
Za kwenu wapendwa,, nna vitz yangu hapa sema nlikua naomba ushauri niiunge taxify au niiunge uber na je huwez kujiunga zote mbili? wenye uzoefu wanisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unga zote mbili inawezekana na uber ndo iko poa zaidi kwa dereva
Kaka sijajua malengo yako na hii biashara lakini kwa sasa kitumbua kimeingia mchanga.. Biashara imekua ngumu sana kote... Utaumiza gari na utachoma mafuta... Bei zimekua za kijinga hlf abiria nao hakuna.. Imagine taxify bomba kutoka kariakoo had masaki elfu 2...
Duh..... NomaKaka sijajua malengo yako na hii biashara lakini kwa sasa kitumbua kimeingia mchanga.. Biashara imekua ngumu sana kote... Utaumiza gari na utachoma mafuta... Bei zimekua za kijinga hlf abiria nao hakuna.. Imagine taxify bomba kutoka kariakoo had masaki elfu 2...
Hapo wanasema When you see the band wagon you are too late.Angalizo inapotokea fursa km iz inatakiwa uchangamkie fursa mwanzoni kbsa then watu wakishakuwa wengi unajiweka pembeni coz izi zinazohusiana na teknolojia huwa ni nzuri kwa kukuzia mitaji basi sio biashara za kufanya miaka yote same to m pesa na tigo pesa zilipoanza watu waliochangamkia mapema walipata sana hela
U nail it mdau!!Hapo wanasema When you see the band wagon you are too late.
Kwa tafsri ya haraka, kitu kikishakua fasheni umechelewa.
Kaka sijajua malengo yako na hii biashara lakini kwa sasa kitumbua kimeingia mchanga.. Biashara imekua ngumu sana kote... Utaumiza gari na utachoma mafuta... Bei zimekua za kijinga hlf abiria nao hakuna.. Imagine taxify bomba kutoka kariakoo had masaki elfu 2...[/Q
Jambo zuri kama amepatikana mshindani, wajitahidi 'kukava' Tanzania nzima. Hivi nani mmiliki wa hiyo taxify ?taxify
Huoni mdau alichosema hapa chini?Unless kama hutaki kuambiwa ukweli wenyewe wa biashara hio kwa sasa.Hii ninkawaida ya jf, kila wazo litakalotokea kujadiliwa lazima wawepo wa kukurudisha nyuma na kukukatisha tamaa, hizi ni roho za kishetani , kama mhusika jaribu kuifanya uzione changamoto ukiwa humo.
Angalizo inapotokea fursa km iz inatakiwa uchangamkie fursa mwanzoni kbsa then watu wakishakuwa wengi unajiweka pembeni coz izi zinazohusiana na teknolojia huwa ni nzuri kwa kukuzia mitaji basi sio biashara za kufanya miaka yote same to m pesa na tigo pesa zilipoanza watu waliochangamkia mapema walipata sana hela