Nina viuvimbe vidogo kama vinundu pemben ya sikio

Nina viuvimbe vidogo kama vinundu pemben ya sikio

naomba majibu dokta
Vina mda gan tangu vikutoKee..!!?? Je vina washa au vina maumivu..!!??vina ukubwa gani..?? Ukijibu maswali hayo ntakwambia tatizo ni nini.........!!
 
jaman hata mie mwanangu anavyo vina muda mrefu kidogo lakini haviumi wala haviwashi,je vinasababishwa na nini
 
Mtoto wangu pia anavyo ila ni mdogo wa miaka miwili hawezi kujieleza km vinauma au vinawasha ila vinazaidi ya miezi miwili
 
Back
Top Bottom