N nabs Member Joined Sep 1, 2014 Posts 32 Reaction score 3 Sep 13, 2014 Thread starter #2 naomba majibu dokta
definition JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 972 Reaction score 1,584 Sep 14, 2014 #3 nabs said: naomba majibu dokta Click to expand... Vina mda gan tangu vikutoKee..!!?? Je vina washa au vina maumivu..!!??vina ukubwa gani..?? Ukijibu maswali hayo ntakwambia tatizo ni nini.........!!
nabs said: naomba majibu dokta Click to expand... Vina mda gan tangu vikutoKee..!!?? Je vina washa au vina maumivu..!!??vina ukubwa gani..?? Ukijibu maswali hayo ntakwambia tatizo ni nini.........!!
Y Ynamo Member Joined Aug 14, 2013 Posts 21 Reaction score 6 Sep 15, 2014 #4 jaman hata mie mwanangu anavyo vina muda mrefu kidogo lakini haviumi wala haviwashi,je vinasababishwa na nini
jaman hata mie mwanangu anavyo vina muda mrefu kidogo lakini haviumi wala haviwashi,je vinasababishwa na nini
Makuchei Member Joined Jul 31, 2014 Posts 29 Reaction score 6 Sep 15, 2014 #5 Mtoto wangu pia anavyo ila ni mdogo wa miaka miwili hawezi kujieleza km vinauma au vinawasha ila vinazaidi ya miezi miwili
Mtoto wangu pia anavyo ila ni mdogo wa miaka miwili hawezi kujieleza km vinauma au vinawasha ila vinazaidi ya miezi miwili