Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

Great thinker..... hahaaaa!

Akisoma hizi comment sijui kama atarudi l.o.l
Nimerudi kwa kuwa nahitaji ushauri....

Okay sir.....!
 
Iaisee acha UCHAFU HUO,,unadhani mkeo ni girlfriend......
 
ha ha sikufaham kama nyumba ndogo zinachukiwa hivi duh.
 
da!!! KWELI BAADHI YA NDOA NI NDOANO,,,,,SHUKURU HAUFAHAMIKI NA MKEO SIMFAHAMU.....
KUKWEPA FOLENI ZA BARABARANI NAHISI NINGEKODI NDEGE KWENDA KUMFIKISHIA UJUMBE HARAKA MKEO JUU YA UZINIFU WAKO.....
UKIRUDI HOME UNAAMBIWA KARIBU MUME WANGU,POLE KWA UCHOVU WA KAZI,,KUMBE UMETOKA NYUMBA NDOGO...
inauma sana...haya bora uyasikie tu lakin YASIKUFIKE...
 
Pole kaka angu hiyo ni hali ya kawaida itaisha tu kwa muda fulani, rudisha mapenzi ya dhati kwa mkeo utaanza ona na kujutia ulivyopoteza muda wako wa thamani kw huyo kimada. Jiulize kama mkeo na yeye angefanya hayo ungejisikiaje, jijutie nafsi yako mrudie Mungu wako na mpe mapenzi ya nguvu mkeo, anza kumthamini na kutumia muda mwingi kuwa nae ili uepukane na dhana kwamba lazima uwe na nyumba ndogo.
 
wewe una tatizo kichwani.Yaani huna aibu kuomba ushaur kwa mambo tuyapigayo vita
 
Heee mnamjia juuu mkaka wa watu utadhani nyie ni wasafi wakati mnanyumba ndogo kibaoooo, Mwaya mkaka pole sna hakuna kitu kibaya kama kuachwa na umpendae muhimu ni kutafuta nyumba ndogo nyingine!!!!
Viva nyumba ndogooz😛eace:😛eace:
 
MR kumbe nyumba ndogo nazo zinathaminiwa sana na hawa Father house eeeh!!!
Ngoja nianze kampeni, nakuwa nyumba ndogo for 2 months, then kibuuuuuuuuuuuuuuuti.
Afu nione, kama lijamaa litalia lia kama huyu. Dah unalilia nyumba ndogo kama mkeo,
Basi labda ulikuwa unatoa mapenzi ya kizeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
 
Heee mnamjia juuu mkaka wa watu utadhani nyie ni wasafi wakati mnanyumba ndogo kibaoooo, Mwaya mkaka pole sna hakuna kitu kibaya kama kuachwa na umpendae muhimu ni kutafuta nyumba ndogo nyingine!!!!
Viva nyumba ndogooz😛eace:😛eace:
MR niko hapa club continental kwenye usiku wa khanga moja nakusubiriria
 
Mhh asilimia kubwa ya waliokwenye ndoa hawaja oa au kuolewa na chaguo lao
 
Dah hilo nalo neno MR, dah pole yake, lkn sasa hii ni atari kama wanandoa wanaishi mradi liende ni balaaa hili.
 
Dah hilo nalo neno MR, dah pole yake, lkn sasa hii ni atari kama wanandoa wanaishi mradi liende ni balaaa hili.
Naona unawasindikiza mbu na mende kupata usingizi
 
Mungu amekuongoza uachane na nyumba ndogo hivyo usisikitike furahi tena furahi sana, penzi hilo peleka kwa mkeo, jitahidi kuwa karibu naye usirudi tena kwa huyo mdogo sabu inaonyesha kapata mwingine, kaka utakufa kwa ngoma.

mkeo asijue maana kina mama wana visa atasema kumbeee....then hatakusaidia ni vema utulie nayo moyoni naye abaki kushangaa mbona baba skuhizi ananipenda hivi... usionyeshe huzuni hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…