Nimekuwa nikifuatilia sana mahojiano ya huyu muha akizungumzia kufungwa kwa Simba na Yanga kila mara.
Ninaanza kuwa na mtizamo tofauti juu ya azma yake kwa Simba. Huyu mtu anahitaji kuwa mwenyekiti na hivyo hata mkifanyaje, ataendelea kushirikiana na adui Simba ifungwe ili mumtimue mwenyekiti aliyepo sasa ambaye ameshindwa kabisa kuifunga yanga
Nami nasema,ahadi ya manara kwa yanga kuchukua ubingwa back to back hakuna wa kuipinga
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app