Tunaangalia Klabu bingwa Africa na Shirikisho.Ai nyie mna angalia mpira upi?
Uko kombe la kina mama hamna mnalofanya mwishowenu siku zote ni robo.Tunaangalia Klabu bingwa Africa na Shirikisho.
Acha wivu Chura, sema ukifika robo unaondoka na Tsh ngapi na ukiishia makundi inakuaje.Uko konbe la kina mama hamna mnalofanya mwishowenu siku zote ni robo.
Mna choma moto viwanja vya watu kwa ushirikina lakini mwishowe ni robo
Bado amjasema Yani mpaka mtasema,,unafungwa bila goli la penalty Wala kadi nyekundu lazima muwe na wazimu tu!Nimekuwa nikifuatilia sana mahojiano ya huyu muha akizungumzia kufungwa kwa Simba na Yanga kila mara.
Ninaanza kuwa na mtizamo tofauti juu ya azma yake kwa Simba. Huyu mtu anahitaji kuwa mwenyekiti na hivyo hata mkifanyaje, ataendelea kushirikiana na adui Simba ifungwe ili mumtimue mwenyekiti aliyepo sasa ambaye ameshindwa kabisa kuifunga yanga
Nami nasema,ahadi ya manara kwa yanga kuchukua ubingwa back to back hakuna wa kuipinga
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Utopolo wazee wa match fixingKwani nyie mashabiki wa Mbumbumbu fc hamuoni kwa macho yenu kuwa Yanga na Simba zinatofautiana kwa ubora uwanjani?
Ai nyie mna angalia mpira upi?