Nina wasiwasi na mke wangu...

We bwege kabisa, mwanamke anajipangia safari na wewe upo kama zuzu.
 

Mashemeji zako wanamuita mkeo bila kukupigia simu wewe na kukuomba ruhusa kuwa wanamuhitaji mkeo?

Sijawahi kuona hili
 
Hao ndugu zake wa Singida ungewapigia simu kuwauliza walimuitia nini huko na ikawaje na pia uoanishe na majibu atakayo kupa yeye
 
Tujifunze wanaume safari hiyo mwanamke habaswi kukupa taarifa anapaswa aombe ruhusa ukikataa anabaki ukimpa go ahead anaenda mie nikionaga nn tu nasema Moja tu hakuna safari

Siongei tena
 
Mwanaume ukiona dalili hizi kwa mkeo, basi shtuka haraka sana.

1. Safari ya haraka haraka, ya muda mfupi, isiyo na umuhimu lakini inalazimishwa ifanyike muda huo huo tu.

2. Mlolongo wa maelezo tofauti tofauti kuhusu safari ya ghafla.

3. Maelezo ya kuchoka, kuumwa, kujisikia vibaya mara baada tu ya safari ya ghafla usiyoilewa vvema.

4. Safari ya ghafla itakayopelekea mkeo asipatikane kwenye simu, simu kuzimwa au ujibiwa kwa sms badala ya kupigiwa.

5. Safari yoyote ya mkeo usiyoilewa vyema lakini itakayopelekea mabadiliko ya ghafla ya mkeo kuwahi kurudi au kuchelewa kurudi.

6. Safari za kikazi. Narudi tena safari za kikazi, narudia tena safari za kikazi. (Wanawake wengi walioolewa kama wana tabia za kukosa uaminifu ni rahisi mnoo kuliwa kirahisi mnoo kwenye safari za kikazi)
 
Kuna kitu huwa kinaitwa video call na kingine location sharing.. whatsapp ingekuondolea doubts
Safari yenye umbali kama singida aende ijumaa saa saba halafu arudi jumapili halafu kwa kuungaunga.. hapo kuna kitu kinakuka kama samaki mzee
Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
 
Yaani dada yake amuite gafla na wewe unaruhusu bila hata kuambiwa anaitiwa nini?

Mimi wife haondoki eti asafiri ya gafla bila kujua safari inahusu nini hata Kama wazazi wake ndo wamemuita.

Akirudi ukimuuliza doubt zako kuhusu iyo safari na kushuka shuka DOM hatakuambia chochote, na utaanzisha mgogoro wakati hauna ushahidi concrete.


Kaa kwakutulia maana probability ya wewe kupigiwa Kwenye hiyo safari Ni 1 na uache ufala huo mkeo anakuaga kwenda kutafunwa, inatakiwa uwe na total control Kwenye moves zake zote mfano kushuka dom ungemwambia tu hakuna kushuka hizo habari za kushuka dom Ni kitu kipya.
 
Mkeo mtihani vipi afikie hadi hatua ya kufanya maamuzi ya safari bila kukufahamisha?
 
Comment bora kabisa ktk huu uzi ni hii hapa. Nitaiprint kabisa na kuiwekea lamination [emoji1690]
 
Kwnza una uhakika gani kama kweli kasafari? tuanzie hapo na kingine hao mashemeji zako kwanini wasingekupigia wewe kumtaka mkeo kama kuna tatizo la uhalaka hivyo na lakumtoa mkeo nje ya mkoa au unaishi na mtoto wa watu bila kujulikana kwao?
 
Na hicho ndo cha kwanza mkuu ninacho kuja kuanza nacho
Usisahau kuja kutupa mrejesho! Ila nina asilimia 100 kuwa mkeo kapigwa nje! Je uliwasiliana na ndugu zake waliomwita? Au unaishi staili gani na mkeo ya maisha?
 
Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Lbda huna sauti kwake au huna sauti kwenye familia,ndugu za mkeo wakimuhtaj dada yao taarifa lzma upewe ww kwanza,inaonekana huyo anakuendesha sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…