Nina wasiwasi na mke wangu...

Mleta mada punguza jazba usije ukatumia nguvu badala ya akili maana unaweza ukajikuta umemuumiza mtoto wa watu ukapata kesi na ukakosa haki yako.
Tumia akili nyingi kama KGB ya Putin enzi hizo.
 
Kutombewa sio powa mazee huwezi pata usingizi kabisa
 
Ila Uzi wako unachekesha🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani unapewa taarifa asubuhi nasafiri na ww kazi yako ni kuitikia sawa ?? Kama sio safari za msiba, kikazi nk ni lazima umpe ww ruhusa au ndugu wakuombe ruhusa mkeo asafiri. Nje na hapo unayumba sana mzee baba
 
Sawa mkuu acha niingie kazini ni deal na hili kama ulivosema kiongoz
Shida sio kugongewa tu wanaweza wakawa wamepita mfereji ambao ww unajua unapitisha uchafu. Wahuni sio kabisa, hakika wamepita
 
Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Dada wanatakiwa wakupigie shem tunamwomba mkeo kwa siku kadhaa kuna dharura ya kifamilia nk nk hivyo ndivyo huwa sio yeye usiku anaaga tu
 
Dar dodoma

Dodoma singida

Singida dodoma

Dodoma dar


Hapa utapata majibu yote,wala haitaki kutumia nguvu nyingi
 
Dah!!! ,[emoji1][emoji1] wamejua kukujaza upepo umu ndani. Nahisi akirudi unaweza kuua Mana si kwa hasira ulizojazwa [emoji2960]. ..ushauri ni bure Ila akili ni kumkichwa....vya kuambiwa changanya na mawazo yako....

Chonde chonde, punguza jazba...usije ukachukua maamuzi magumu, jela hautakuwa na mtu humu, utapambana mwenyewe [emoji23][emoji23].....kuwa na hekima tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…