Nina wasiwasi na mke wangu...

Vp lakn uliongea na mashemej zako kujua ni kwel alikuw huko au ndo unamuamin sana kias kwamb huwez uliza unaogopa wige atakuonaje
 
Una tatizo kubwa mkuu, mkeo anapigiwa simu na dada yake na wewe unakubali bila kujiridhisha Kwa dada yake??... Ina maana dada Ndio ana mamlaka Kwa mdogo wake sio wewe? Halafu et anamuita tu na hakuna shida, kwani hujui ruhusa ya kwenda kumsalimia dada ambaye yuko mbali unaanza kuombwa January na safari inakuwa disemba wewe kaongea usiku tu asubh anaenda??? Tena anayetakiwa kuomba ruhusa siyo yeye ni huyo dada yake, kifupi huyo kakuficha kwapani.
 
wanaume mnachapiwaga kizembe sana😀

wakati anakwambia nimefika singida uliona ugumu gan kumwambie akupe cm uwasalimie mashemeji zako?

n way, km mkeo ni mnyaturu hiyo ni kawaida kwao
 
Mkuu hata ungekua msiba ilipaswa wakwe au shemeji zako wakupigie simu na kukuomba wewe direct sio taarifa uzipate juujuu tu kama hivi.
Ama kweli ndoa ni kwa wenye akili timamu tu.
 
Pole sana, inaonekana anajiamulia anavyotaka mambo yake...
 
Inavyoonyesha huyo sio mke wako wa ndoa. Na kama ni mke basi yeye ndio kichwa cha familia, yaani wewe ni kibenten unatunzwa na hapo sio kwako. Ndoa siku zote lazima mjadiliane kwa swala linalojitokeza la kusafiri nje ya Mkoa na kujua kabisa safari inahusu nini. Mpaka mtu afunge safari sikuhizi issue lazima ni kubwa sana aidha ugonjwa, msiba, harusi au kutoa ushahidi Mahakamani, lakini sio zaidi kirahisi rahisi tu. Mitandao imerahisisha 75% sio lazima kukutana uso kwa uso tena.
 
Mkuu huko ni mbali sana kuitwa bila kupewa sababu, yani leo ndugu yako yuko mkoa aseme njoo haraka ukija nitakuambia sababu ya kukuita we unaweza kwenda?? Haiingii hata akilini upoteze nauli bila kujua why unaenda mkeo genius.

Nikweli mkuu nitamuuliza na kumfatilia kwakina kama anafanya ushenz nitajua tu njia ya muongo ni fupi
Bro unajua mkeo anakumudu, ndiomana ameweza kutumia mbinu za level ya chini sana kutekeleza azma yake.
Ushauri wangu ni kwamba, kama kweli unataka kufuatilia ukweli wa hiyo safari, uwe tayari kukabiliana na ukweli ulio mchungu, au upotezee tu na maisha yasonge kwa kutoruhusu ujinga kama huo tena.
Kinachonishangaza ni kuwa inawezekanaje mke afunge safari ya nyumbani tena mkoani bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote kutoka huko ukweni? wa hivi mimi ningemkamata kabla hata ya safari yake kuanza.
Inauma sana kuto$%wa kizembe namna hii, man up bro.
 
Je mshazaa watoto na huyu mke wako?
Ebu nipe picha yake nimwangalie maana naweza nikawa nimemuona hapa Dodoma, kuna lodge flani nahisi ndo alikuwa na jamaa fulani hivi mzito. 8
 
Ukiona hivyo ujue mwanamke ndiye mtafutaji mkuu wa uchumi wao.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu ndugu zake wanamuita kwani hawajui kama ni mke wa mtu au wao wanajua yupo single muda wowote akiitajika ataenda, mkuu mbona una kuwa dhaifu kama wabunge wetu wanavyo pitisha sheria za tozo bila kuhoji.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kwavile ulishamruhusu akaenda kwenye safari yake bora tu ukae kimya ila siku nyingine ujifunze usitoe ruhusa kirahisirahisi hivyo.
 
Kujiheshimu na kukuheshimu ni jukumu la mkeo ambalo huwezi kumlazimisha kulifanya hata kama ukimpiga ama kugombana nae, siamini kama ukianza kufuatilia yaliyopita kwasasa yatabadilisha kitu zaidi ya kuzua migogoro zaidi. Kitu kikubwa kamą uliamua kutokutilia maanani tangu mwanzo endelea ivyo ivyo ili kuepusha madhara kwa pande zenu nyote. Ila muda mwingine ukitaka kufuatilia anzia mwanzo.

Waswahili wanasema kukaa kimya ni jibu la mjinga.
 
Umewauliza hao mashemeji zako kuwa wamemuita kweli?
Isije kuwa alienda Sinza kukamuliwa.
 
Ndugu nafaamiana nao vizur sababu ya kumwambia aende sikutaka mambo yawe mengi nilitaka aende then akirud ndo nimuweke chini anieleze kulikuwa na nini lakini singida alifika na nilihakikisha hilo ila doubt inakuja hapo Dodoma mkuu
Unaanza kukengeuka, kwenye maelezo umesema hukumfatilia, hapa unasema ulihakikisha amefika joto linapanda [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Oya tunaongea sana, swali kuu, huyo mke wako mpaka sasa hv hajafika tu mzee baba utupe updates?
Au kafikia moro kapata tena kipengele??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…