Nina wasiwasi na mke wangu...

Daah kweli lakini kama kweli wife kafanya hivyo baada ya kumfatilia sjui hata nitamfanya nini mungu tu anipe nguvu na imani mwanae
Usifanye lolote utaniharibia ,kwa nini ujipe stress au uharubu maisha yako?
 
Usisahau kuleta mrejesho mkuu baada ya kumuuliza maswali

Ushauri wangu piga simu kwa ndugu zake hao wa Singida kujua kulikuwa na shida gani nadhani hapo ndo utagundua point ya msingi kabisa.
 
Uki Kuna mpaka Mama wakwe wa Hawa Wanawake zetu, ni Ovyoooo sana


Unakuta Mtoto, anampanga Mama yake.. Ukipiga simu "Hello Mama, Mke wangu amefika??...utasikia eeehh mwanangu , nashukuru Kwa kuruhusu .

Sembuse Madada, Madada hawahawa ??


Niliwah tembea na wadada watatu wa mji Mmoja ,tumbo mojaaa , Baba Mmoja, Mama Mmoja... Tena sio Kwa kificho baali wenyewe Mmoja baada ya Mmoja walikua wanajileta.

Sembuse kufichiana Siri???

Jamaa akitegemea simu za Madada zake, hatopata kitu .maana Dwmu keshwapanga Madada zakeee, mpaka mama yake


Naaaaa... UKIONA DEMU KAWAPANGA DADA ZAKE /NDUGU ILI AKAONANE NA BWANAKE.....UNUE HUYO BWANA NI AMA NI MKUNAJI WAKE WA SIKU ZOTE AMBAYE DADA ZAKE WALIMJUA AU NI BWANA MPYA.
 
Usisahau kuleta mrejesho mkuu baada ya kumuuliza maswali

Ushauri wangu piga simu kwa ndugu zake hao wa Singida kujua kulikuwa na shida gani nadhani hapo ndo utagundua point ya msingi kabisa.

Nikweli mkuu nahicho ndo nasubilia arudi nijue vizur alafu tuelewane vizur zaidi itajulikana tu
 
Mkuu, samahani kwa kukupa ukweli ufuatao.
Huyo mkeo unamlea vibaya ama umekuwa ukimlea vibaya. Ndani ya nyumba mwanaume ndiye kichwa, mkeo lazima asikie kauli yako na wala si kauli ya ndugu zake. Ndugu zake wakimtaka kwa jambo lolote, ni lazima wapitie kwako na ujiridhishe kwanza. Kama una kitu hukielewi, unaweza kabisa kukataza safari kama hizo.
Mkeo anakuaga usiku kwamba kesho asubuhi anasafiri?, na wewe unakubali kirahisi namna hivyo?, something wrong somewhere ndugu yangu. Hao ndugu zake pia naona wana mamlaka ndani ya nyumba yako. Kwangu thubutuu.
 

Daah aloo safari ningumu sana mkuu tutafika tumechoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…