Nina wasiwasi na University of Bagamoyo maana yaliyonikuta UDOM acha tu

Nina wasiwasi na University of Bagamoyo maana yaliyonikuta UDOM acha tu

PAFKI

Senior Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
116
Reaction score
38
Hiv jamani mnafahamu mazingira ya university of bagamoyo?maana tulienda udom tulishinda na njaa hasa wale tulioambiwa tusubirie mtihani wetu baada ya nusu saa ha2kupata hata maji kutusogeza maana wenzetu walianza pepa yao saa 4:10 toka asbh cc 2kachelewa,naomba mtuweke wazi kama tukiitwa kwenye interview yao Bgamoyo twende na viporo kabisa.
 
Duh! Yan hata maji yalikuwa hayapatikani? Dodoma ilikuwa na mafuriko ya watu,vp malazi nayo mjini yalikuaje? Haya wenye kujua mazingira ya UB watujuze jaman
 
How comes??? sijafahamu mbona mukose hata maji katika university!!!
 
we unamaanisha kwamba ulifikiri kwamba mngepewa hivi vitu au vilikua havipatikani hat kwa kujitegemea
 
Waajiri wengi nchi hii ni wababaishaji. Wanashindwa ku-manage hiring process kiasi kwamba mtu unaitwa kwenye usaili saa tatu lkn ajabu jopo la waajiri wanakusaili 3pm; wapi na wapi!
 
Poleni kwa matatizo mliyokutana nayo huko DOM, lakini kumbukeni baada ya dhiki faraja so subirini kidogo muitwe kwenye ORAL INTERVIEW then ajira
 
Hata pale kijiji cha karibu Nogh'ona mlikwenda mkakosa maji?
 
kwani bagamoyo university nao wameita kwenye interview? vip na st.john's university wameita kwenye interview?
 
Back
Top Bottom