Nina wasiwasi na usalama wa watu waliotekwa kama Polepole

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
786
Reaction score
2,860
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja.

Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
 
Polepole ashauliwa. Sema nini damu yake haikumwagika bure.Na watesi wake watailipa.
 
Polepole, Heche, Lissu ni mateka, hawawezi kuwaua as long as Samia is fighting for her survival.

Hao ni kama sehemu yao ya mazungumzo.

Ndio maana leo wamejaribu kuspin taarifa kwa kuleta taarifa za Pole pole
 
Hawajawai ku confirm kuwa wako naye Polepole. Lissu na Heche tunajua wako wapi. Polepole hatujui, so ni vyepesi kumfanyia unyama halafu wakakana
 
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja.

Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini

Kama kuna watu watawadhuru mateka, wafungwa wa kisiasa na wenyewe wanaweza kupata shida kubwa sana hata kupoteza maisha yao, pamoja na familia zao kuteseka.
 
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja.

Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
Kimedani hilo ni kosa kubwa sana , hawawezi kuthubutu kulifanya hilo kosa maana kuthubutu kwao kwa namna yoyote kutasabanisha mzozo upoteze usikivu .

Wao ndiyo ngao ya haya majadiliano japo ninamashaka kuwa Wenda wakawa tayari walishamuua (hasira za yule Maza plus akili ndogo za washauri yaweza kupeleka hayo) siunajua tena hawakuwa wanajua kama haya yatakuja kutokea .

Mama na Kikwete wake wapo kwenye nyakati ngumu sana. Kimsingi hawajui hata wataanzia wapi .
 
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja.

Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
Hakuna option ambayo ni safe kwao. Wameshafanya uhalifu wa kutosha kuwamaliza under any scenario!
 
Umeongea point sana hapo. Ngoja tuone
 
Polepole, Heche, Lissu ni mateka, hawawezi kuwaua as long as Samia is fighting for her survival.

Hao ni kama sehemu yao ya mazungumzo.

Ndio maana leo wamejaribu kuspin taarifa kwa kuleta taarifa za Pole pole
Taarifa za polepole? funguka please
 
Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja.

Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
Hao wanasiasa hasa wahuni hawanihangaishi ila raia wema waliotekwa na kupotezwa. Heri wamalizane wao watuachie nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…