junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 978
Katika mashindano ya mita 10,000 yaliyofanyika juzi huko London nimefurahishwa na jambo moja katika top4 wote sana asili ya Afrika masharika.
1.Amezaliwa somalia/Asili yake ni Afrika Mashariki
2.Aliyeshika nafasi ya pili ni mkenya anatokea ukanda wa Afrika Mashariki
3.Aliyeshika nafasi ya 3 ni Mganda ,nafasi ya 4 muEthiopia na nafasi ya 5 ni MuEritrea wote wanatokea ukanda wa Afrika Mashariki.
Hata kwenye Mashindano ya Olimpic mwaka Jana kwenye 10k na 5k Metre ukanda wa Afrika Mashariki ulifanya vizuri kasoro Sir Mo Farah tu muingereza
Najiuliza hivi sisi Tanzania tuna genes za ukanda huu wa Afrika Mashariki kweli ,mbona tupo nyuma sana wenzetu Uganda,Kenya ,Ethiopia ,Eritrea hata Burundi wanafanya vema hata vijana 2 wenye asili ya kisomali/wakimbizi mmoja mcanada na mwingine Muingereza wanafanya vizuri kwenye riadha kwanini sio sisi.Katika mbio ndefu dunia inajua wazi kuwa watu wa ukanda wa Afrika mashariki ndio tishio lakini sie TZ tumelala
Tanzania nchi yangu "kichwa cha mwendawazimu" nina wasiwasi sisi huenda hatuna genes za ukanda huu .