nina wasiwasi

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
200
naomba wajuzi wa mambo mnisaidie,mimi ni mtumiaj wa bia aina ya Tasker ya baridi kwa mda mrefu sana yapata miaka zaidi ya kumi,kuna mtu siku za karibuni kaniambia kuwa zinapunguza uwezo wa manii katika kutunga mimba,.je kuna ukweri wowote na hilo?,nina mke na mtoto mmoja.,
 
Mh ! Tafuta wa pili ukiona inakua ngumu ujue ni kweli !
 
huyo mtoto wa kwanza ana umri gani?
tafuta wa pili...utapata majibu!
 
Alikupa theory hiyo ni kilaza sana,sababu navyo jua kuhusu Bia Zinakuwa zimezibitishwa na Mashirika ya afya cha kushauri tafuta Mtoto mwingine ikishindika utakuwa umefanikisha lengo lako.
 

Bia haipunguzi uwezo wa kutungisha mimba mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…