Nina watoto wa 4 kila mmoja na mama yake, nifunge kizazi?

Nina watoto wa 4 kila mmoja na mama yake, nifunge kizazi?

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,340
Reaction score
4,069
Habarini,

Nina watoto wanne kila mmoja na mama yake, wa kwanza ilikuwa hivyo, wa pili ni mtalaka wangu, watatu nayo natilia mashaka mpaka mtoto mwenyewe lakini sina uwezo wa kupima DNA hivyo sijakanusha, ila huyu wa nne nilitegewa na huyu mwanamke, nilikuwa naishi nae na kula tendo mimi ndio nilikuwa mwazilishi lakini siku ya hii mimba nilikuta naamka usingizini nikiwa nafanya nae.

Nilihisi kabisa nategwa na kweli ndani ya week mbili nilihisi ana mimba na amekaa nayo 9 na wiki hii amejifungua. Huyu dada sijafunga nae ndoa ila naishi nae, sababu kuja hapa ni kutaka kujua vitu vifuatavyo;

1.Je kufunga kizazi kunaweza baadae kufunguliwa, (ninahofu.)
2.Nikifunga kisiri anaweza stukia.
3.Nimshirikishe mwenzangu.
4.Inatumia muda gani kuuguza kidonda.

NAJUA HAPA NITASHAURIWA VIZURI NA WANA MMU na ma Dr.
 
We zaa bhana, wenzako wanatafuta watoto hata wakusingiziwa..

Karibu kwenye chama cha wasiovaa kondomu Tanzania( CHAWAKOTA)
 
Nenda hospital wakufanyie vasectomy....hutakaa uone makininikia nyeupe ikitoka....
asa kama mbegu hazitoki maana yake hakuna raha ya tendo (maana wingi wa mbegu ndo hufanya kukojoa kuwe na raha zaidi)

Asee siji kujaribu hii kitu kama mbegu hazitoki
 
asa kama mbegu hazitoki maana yake hakuna raha ya tendo (maana wingi wa mbegu ndo hufanya kukojoa kuwe na raha zaidi)

Asee siji kujaribu hii kitu kama mbegu hazitoki
Sasa yeye anashindwaje kutumia ndom ili azuie hao watoto wasio tarajiwa
 
Sasa yeye anashindwaje kutumia ndom ili azuie hao watoto wasio tarajiwa
ndom changamoto mkuu, hata mimi nkitumia mpaka inaisha mafuta sijamwaga navaa ingine vilevile naona(ga) nyatu nyatu ndo suruhisho
 
Yes unaweza funga kizazi na kufungua pia japo kufungua kuna kazi kidogo lakini yawezekana. Kupona baada ya kufunga kizazi inachukua wiki mbili au Zaidi ila sana sana ni wiki mbili tu. Utakuwa na raha ya kufanya tendo la ndoa bila ya kuwa na hofu ya kusingiziwa watoto wa vibaka/majambazi/vichaa.
 
Usifunge mbona ss baba yetu alituzaa 18 kwa wanawake watano mimi hapa wa uzeeni leo faida tunaiona. Utakuja kujilaumu
 
Yes unaweza funga kizazi na kufungua pia japo kufungua kuna kazi kidogo lakini yawezekana. Kupona baada ya kufunga kizazi inachukua wiki mbili au Zaidi ila sana sana ni wiki mbili tu. Utakuwa na raha ya kufanya tendo la ndoa bila ya kuwa na hofu ya kusingiziwa watoto wa vibaka/majambazi/vichaa.
Ngoja niingie u tube niongeze maarifa, kuna mdau kaandika neno la kitaalam hapo juu.Ahsante
 
Sijajua wanawake watafurahia na bao unajuaje kuwa limetoka.?
 
Sijajua wanawake watafurahia na bao unajuaje kuwa limetoka.?

Mkuu unamwaga kama kawaida ila kunakuwa hakuna mbegu za kutunga mtoto. Sema tu wanawake vibaka/machangu watakuwa na hasira maana watashindwa kukusingizia ama kukubambikia watoto wa vibaka wanaochepuka nao.
 
Back
Top Bottom