ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Habarini,
Nina watoto wanne kila mmoja na mama yake, wa kwanza ilikuwa hivyo, wa pili ni mtalaka wangu, watatu nayo natilia mashaka mpaka mtoto mwenyewe lakini sina uwezo wa kupima DNA hivyo sijakanusha, ila huyu wa nne nilitegewa na huyu mwanamke, nilikuwa naishi nae na kula tendo mimi ndio nilikuwa mwazilishi lakini siku ya hii mimba nilikuta naamka usingizini nikiwa nafanya nae.
Nilihisi kabisa nategwa na kweli ndani ya week mbili nilihisi ana mimba na amekaa nayo 9 na wiki hii amejifungua. Huyu dada sijafunga nae ndoa ila naishi nae, sababu kuja hapa ni kutaka kujua vitu vifuatavyo;
1.Je kufunga kizazi kunaweza baadae kufunguliwa, (ninahofu.)
2.Nikifunga kisiri anaweza stukia.
3.Nimshirikishe mwenzangu.
4.Inatumia muda gani kuuguza kidonda.
NAJUA HAPA NITASHAURIWA VIZURI NA WANA MMU na ma Dr.