Nina wazo la biashara ila sina mtaji

Nina wazo la biashara ila sina mtaji

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru.

Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo za ndani za kiume (boxer) dozen zipo tatu ndani ambayo kwa moja wao wanauza 3000 na kwa bei ya jumla unachukua kwa 9000,

Nitachukua nitakazoona zinazonifaa harafu narudi mtaani kuwauzia wana kwa bei ya 5000 kila boxer moja mtaji ukikuwa naongeza na za kike kidogo nitakazoona wadada wanapenda.

Kwa mwenye mawazo anaweza akaongezea hapo.

Pia soma: Njia za kupata mtaji wa biashara
 
Ndio naongea kwa uchungu je nikweli unaweza ukamwona Binadamu mwenzako anasumbuka kwa kidogo ambacho kipo ndani ya uwezo wako?

Sikufichi kina dada/kaka wa humu Jf wengi mna roho nzuri sana tena sana basi tu mnajikuta hamjui tu, ebu mfano nimeweka ki uzi changu ili nisiwe nasumbua sumbua jamani si nawapa tabu tu,

Ebu Amkeni unaweza ukamwezesha mtu ukashangaa mara mipango yako inaenda vizuri, dili lako lile ulilolikatia tamaa limetiki🤗🤗 si unaona hapo si utajiskia vizuri sana, aya twende sehemu mara kazini kufika jumanne tu unapewa barua cheo tayari 😍😍umepandishwa eeh jamani si ni vizuri hivyo,

Ebu jamani tusiwe hivyo bana wengi wanakuja na mawazo mazuri tu humu ndani ila wa kuwashika mkono amekosekana, mi naweza kusema tuwe na mioyo mizuri ata pasaka kwako na familia yako usherekee vizuri moyo ukiwa mweupe, naomba kuwa tag hawa watu Wangari Maathai mjingamimi kwakweli ni wakarimu sana sana, sijui tu ila Mwenyezi MUNGU awape atakachoona wameomba kinawafaa.
 
Am humbled..lol.

Mie sikufahamu kiukweli..ila nikuambie kitu...kabla hujataka kushikwa mkono jinyanyue ulipo...yaan pigana uwezavyo utoke hapo kwa jasho lako...atatokea mtu atakupush ....

Sidhan kama ni njema sana kusaidiwa kutoka ground wengi hatufanyi vizuri ..mara nyingi unajikuta unakuwa mzembe ukijua fulan nikimlilia atanisaidia ...anza popopte na ulichonacho...masuala ya pasaka we yatupilie mbali...all the best
 
Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru.

Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo za ndani za kiume (boxer) dozen zipo tatu ndani ambayo kwa moja wao wanauza 3000 na kwa bei ya jumla unachukua kwa 9000,

Nitachukua nitakazoona zinazonifaa harafu narudi mtaani kuwauzia wana kwa bei ya 5000 kila boxer moja mtaji ukikuwa naongeza na za kike kidogo nitakazoona wadada wanapenda.

Kwa mwenye mawazo anaweza akaongezea hapo.

Pia soma: Njia za kupata mtaji wa biashara
Wazo zuri sana mkuu mimi nakushauri kwakua una simu na haikuingizii pesa bas iuze hiyo cm alafu pesa ifanyie mtaji and then baada ya miez kadhaaa utanunua maana pesa yko itakua imesharudi nakutakia kila la kheri
 
Am humbled..lol.

Mie sikufahamu kiukweli..ila nikuambie kitu...kabla hujataka kushikwa mkono jinyanyue ulipo...yaan pigana uwezavyo utoke hapo kwa jasho lako...atatokea mtu atakupush ....

Sidhan kama ni njema sana kusaidiwa kutoka ground wengi hatufanyi vizuri ..mara nyingi unajikuta unakuwa mzembe ukijua fulan nikimlilia atanisaidia ...anza popopte na ulichonacho...masuala ya pasaka we yatupilie mbali...all the best
Fact
 
50000 unataka mtaji......Fanya hiviiii, chukua simu yako tazama unamajina mangapii kwenye phone book, naamini majina uliyonayo ynazidi 50, so Fanya hiviiii.....andika message ukiomba wakuazime,kila mtu akutumie buku Tu, waambie unashida nayo katika maisha yako, wakikutumia hao 50, utakuwa umepata mtaji. Na ukiona wamechomoa kukupa buku,so nenda sehemu ya message imeandikwa delete name,kisha futa Jina lake,maana huyo jamaa hafai kuwa karibu nawee......nawaza tu, si unajua akili za kvant MDA huuu.......
 
🥰🥰🥰

Umeandika neno Zuri sana..
bdw Mkuu majuzi kati nilikupm..
Kuna vitu kias nataka kupata ufafanuzi ..nisamehe kukusumbua..
 
Back
Top Bottom