Nina wazo la biashara ila sina mtaji

Jinsia yako tafadhali?
 
Kijana huoni aibu kuomba mtaji wa 50,000/- ?

Ungeuza hiyo simu yako unayotumia naamini ungeweza kutatua tatizo lako.
 
Kiufupi tafuta hata kikazi hata cha ukibarua wa ujenzi sehem wanapojenga majengo makubwa. Ukiipata Naamin ndan ya wiki mtaji utaupata
 
50k siukafanye uhouse boy au girl kwamtu mwezi 50,000. Atakulisha,utakunywa,utalala buuure na kama anakatoto kazuri unajilia au unaliwa(kama we nidemu) yaani raha tupu
 
Maisha haya.. Yan nimetoka kulipa bill ya bia karibia kiasi hicho kumbe ni mtaji wa mtu kabisa.
Daaaa phinah ulaaniwe na misavanna uliobugia kama maji
 
Hapa Dar sijaona sehemu gani utamuuzia mtu boksa moja kwa elfu tano. Nisijue kijijini na sijui uko wapi kwanza
 
Mungu akuinulie watu wa kukusaidia mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…