Nina wazo la biashara ila sina mtaji

Sorry.. hizo faida za 8000 - 12000 ulikua unazipeleka wapi?
 
10k hapo nachukua tatu zilizofungwa. Mtaa mgumu sana kumuuzia mtu boksa moja kwa elfu tatu. Mtu anayeweza toa 5k kwa boksa moja basi huyo hanunui rejareja za mkononi, ananunua zilizofungwa. Naamini biashara ni uhalisia
Aisee mara ya mwisho kuulizia ilikua lini mkuu? Maana hata haya masoko yetu ya buguruni, karume, k/koo, tandika za 5k zimejaa, au sisi wengine huwa tunaonekana wakishua?
 
Aisee mara ya mwisho kuulizia ilikua lini mkuu? Maana hata haya masoko yetu ya buguruni, karume, k/koo, tandika za 5k zimejaa, au sisi wengine huwa tunaonekana wakishua?
Boksa tatu si zinauzwa 10k zimefungwa kwenye transparent plastic bag na pensi nyeupe kubwa hivi. Sasa unanunuaje boksa elfu tano, afu kwanza unaanzaje kununua boksa zimetandikwa kwenye meza zinashikwashikwa au ndo zile za Banana Republic na michoro ya bangi.

Hakunaga boksa ya kishua hata uvae LV, DG au YSL zote sawa hapa mtaani
 
hili Wazo mbona Kama lina work hivi
 
Mkuu vp miaka ya Leo vyanzo vya mkiopo ni ving hata through plays like mkeka bet,Biko ,bonanza la 200 na vingine ni risk but ni vyanzo vya mkopo.Ukifel huko kwenye Ile lain yako ya Voda bonyeza *150*00# alaf ok chagua 5 then songesha alaf lisongeshe mdogomdogo had ufike 50k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…