SEKI MTULIA
Member
- Apr 6, 2018
- 5
- 5
Habari wana JF,
Kwa majina naitwa Seki Mlekoni Mtulia mwenye umri wamiaka 23 nayeishi Dar Es Salaam- Mbagala. Nina wazo labiashara/mbinu yakuingiza profit safi.
Biashara inaitwa IQ option ambayo mpaka sasa nina mwaka 1.5 nikifanya practice kwakutumia unvisual and real fund.
Mlolongo wa Profit ipo ivi:-
Nina trade kwa 2% ya mtaji wangu × 4 kwa siku nzima ambayo nitakuwa napata 8% kama profit day.
Kiasi ninachowaza ni millioni tatu na nusu(3500000) ambayo niapproximate ya $1500. Ivo itakuwa ivi:-
SIKU1. 2%×1500=$30×4 = 120.
SIKU2. 2%×1500=$30×4= 120. Kwa mwezi siku 20 itakuwa 120×20= 2400$ ambayo ni sawa na sh/=5400000 faida. Huo ni mwezi wa kwanza tu.
Elimu in kidato cha nne tu, sikufanikiwa kufaulu(2012). Tunaweza kufanya kazi hiyo kwa muda mfupi tukafika mbali ama kunikopa kiasi iko baada ya mwezi nitakurejeshea kwa riba nzuri.
Asante.