Nina wazo la kuanzisha biashara ya Alternative and Renewable Energy MicroGrids

Nina wazo la kuanzisha biashara ya Alternative and Renewable Energy MicroGrids

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Nyote mnajua kwamba ule muarobaini tulioahidiwa na TANESCO kwamba mgao wa umeme ungekwisha, SASA HAUPO TENA.

Kinachotakiwa ni kuiweka TANESCO kando na kusonga mbele.

Nina mawazo thabiti kuhusu nini kifanyike. Mwenye maoni sawa na yangu tuwasiliane kwa PM.
 
Back
Top Bottom